Jumatano, 8 Machi 2017

U HERI, ISRAEL

kumbukumbu la torati : Mlango 33

29 U heri, Israeli.Ni nani aliye kama wewe, taifa lililookolewa na BWANA!Ndiye ngao ya msaada wako,Na upanga wa utukufu wako;Na adui zako watajitiisha chini yako,Nawe utapakanyaga mahali pao pa juu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni